Shaka Hamdu Shaka: Tunahakiki deni la Bilioni 1 wanalodaiwa Uhuru Media kama lina ukweli wowote

Mbona Mr slowslow anajua vizuri.
Mlihakiki Mali za chama hamkutueleza.
Na hili deni mtaficha tena
 
Naamini zitalipwa ama kwa kupitia kasma ya rais isiyokaguliwa au kule JK alikotoa fedha za kujenga Jakaya Kikwete Convection Center
 
Naamini zitalipwa ama kwa kupitia kasma ya rais isiyokaguliwa au kule JK alikotoa fedha za kujenga Jakaya Kikwete Convection Center
Shida sio hela shida uhakiki ufanywe,
 
Nyie jilipeni hiyo hela tu...hayo madeni yalikuwa kipindi cha JK uchaguzi wa awamu ya kwanza ya JPM na baada ya JPM kuwa mwenyekiti aligoma kuyalipa baada ya kuchunguza na kugundua overpricing na wanaodai ni wanaccm chini ya kivuli cha watu binafsi...uchunguzi mpya wa nini mnataka kufilisi chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…