Shaka Hamdu Shaka: Tunahakiki deni la Bilioni 1 wanalodaiwa Uhuru Media kama lina ukweli wowote

Nyie jilipeni hiyo hela tu...hayo madeni yalikuwa kipindi cha JK uchaguzi wa awamu ya kwanza ya JPM na baada ya JPM kuwa mwenyekiti aligoma kuyalipa baada ya kuchunguza na kugundua overpricing na wanaodai ni wanaccm chini ya kivuli cha watu binafsi...uchunguzi mpya wa nini mnataka kufilisi chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
No, dawa ya Deni ni kulipa,
 
Ni ngumu sana kampuni Saba kudai TZS 1Bl net,

Huu ni usanini wenye nia ya kukichafua chama chetu,

Mnahakiki deni la 1b zaidi ya mwaka mmoja? Chama la majizi ya kura linachafuka kwani ni safi?
 
Nyie jilipeni hiyo hela tu...hayo madeni yalikuwa kipindi cha JK uchaguzi wa awamu ya kwanza ya JPM na baada ya JPM kuwa mwenyekiti aligoma kuyalipa baada ya kuchunguza na kugundua overpricing na wanaodai ni wanaccm chini ya kivuli cha watu binafsi...uchunguzi mpya wa nini mnataka kufilisi chama?

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 2 wanahakiki kitu gani?
 
Back
Top Bottom