Shaka kulikoni? Kaboronga ama kagusa maslahi ya wenye nchi?

Shaka kulikoni? Kaboronga ama kagusa maslahi ya wenye nchi?

Kaa tayari bila shaka atapewa cheo serikalini hivi karibuni.
 
Like we care?!…Watu wote tunataka kuona THE END of CCM
 
Alichofanyiwa shaka ndicha alichofanyiwa Mchengerwa!

Protection!

Kuwalimda DHIDI ya madhara ya nafasi walizoshika kunapotokea shambulizi!

Mikutano ya hadhara inaenda ku expose competence yake!

Atafichwa kwenye nafasi tulivu kama mchengerwa!
Cheo ni dhamana. (Ahadi ya tano ya Mwana TANU sasa CCM).# Tuache maneno mengi.🙏🙏🙏
 
Shaka alikuwa kishaanza kuimudu kazi ya uenezi. Lakini ghafla bin vuu tunaona anaondoshwa kunako kiti cha uenezi.

Tunajiuliza kaboronga ama kagusa maslahi ya wenye nchi?
Matamko ya kijinga niliju hatokatiza....
 
Taarifa zinasema dogo alisimamishwa kazi siku nyingi.Alizuiliwa kuongelea habari za mikutqno kuruhusiwa
Wow! Kumbe Shaka alikuwa kichomi kwenye suala la maridhiano????!!!
 
Vile Shaka anamuangalia mleta uzi😁😁😁
AIYBzr.jpeg
 
Kweli KARMA is Real bitch.

Alisababisha mwanangu Serikalini ahamishwe kwa uchochezi wake na si uenezi,tena alikuwa anakomaa asimamishwe kazi lakini ulipofanyika uchunguzi hakuonekana na kosa lolote,kujikosha ndio ikabidi wamuhamishe kituo cha kazi.

Akafie mbele huko.
 
Back
Top Bottom