Shaka: Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu, Tanzania Royal Tour Rally sasa kutumia helikopta

Tatizo la watu wa aina yako ni kukosoa na kukejeli halafu siku ya uchaguzi mnaamka saa nane mchana na kuwasha TV kuangalia kama vurugu zimetokea sehemu fulani.

Hamtimizi wajibu wenu na mnachoweza ni malalamiko na masimango ya mtandaoni, mambo yanayopotea kama upepo wa ufukweni.
 
watachagua chama gani kama sio CCM, ivi kweli mtu aamke asubuhi aende kuchagua Upinzani huu wa majizi tu,!!!
 
Hao bodaboda waulize kuhusu bei ya mafuta leo,uone unafiki wa Watanzania,huyu mama na chama kwa ujumla,watazidi kutukanwa sana hasa wakijakutoka madarakani.
Bei ya mafuta ni janga dunia nzima kuwa na akili,
 
Taifa hili lilimuhitaji mtu kama Rais Samia miaka mingi iliyopita
 
😍😍😍
 
Sasa ulitaka nikapange foleni kweli huku nikitaraji kura yangu itamchagua kiongozi ninayemtaka? Mkuu wewe nenda tu ukapige kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…