Shaka: Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu, Tanzania Royal Tour Rally sasa kutumia helikopta

Shaka Hamdu Shaka : Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu,Tanzania Royal Tour Rarry sasa kutumia Helkopta,​

Tanzania tutatumia miaka mingi sana kupata mtu kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Hapo hapo gharama za maisha ni above and beyond mtu wa chini ila bado mnaongeza matumizi mabovu
 
Mama anachojua ni kuongeza tozo tu, watanganyika tudai nchi yetu
 
Shaka Hamdu Shaka : Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu,Tanzania Royal Tour Rarry sasa kutumia Helkopta,​

Tanzania tutatumia miaka mingi sana kupata mtu kama Rais Samia Suluhu Hassan,
CCM Chama.
 
✔️✔️✔️
 
Kazi nzuri Sana Ndg Shaka, Uko sawa kanyanga twende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…