Shaka : Rais Samia ni kama Nyerere kwa mwaka mmoja huu ametumia TZS 79bl kujenga vyuo vya VETA kwenye halmashauri 29 na mikoa 4

NYERERE ATAFANANA NA WANGAPI? MLISEMA MAGUFULI SASA SAMIA
 
Hapa Comrede Shaka ameupiga mwingi Sana 😆😆
 
Mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere ukamilike na SGR pia.
 
Namuunga mkono mama Samia, lakini ni ufinyu wa aikili kumlinganisha Mama Samia na Mwalimu Nyerere.
Hapo Shaka anaonyesha ufinyu wa upeo wa uelewa wa kisiasa.

Rais Mwinyi mwenyewe aliwahi kusema yeye ni kichuguu akijilinganisha na Mwalimu.
 
Kwani Shaka Hamdu kachaguliwa na nani?
 
Mbona hakikuisha aise? Mpe haki yake Mama Samia
Siwezi kumpa kongole kwa sababu anawajibika kukamilisha lichoanzishwa kwa kulingana na ilani ya chama chake kwa wananchi. Yeye kama yeye hana mradi wowote ulianzishwa wenye tija endelevu. Muache kumsifia na kumpamba kwenye vitu asivyostahiki au mnaogopa kuwekwa pembeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…