Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
😍😍😍Tuendelee kumwombeaHuyu Mama Mpaka 2030 atavunja rekodi zote ikiwemo ya Mzee Magu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍😍Tuendelee kumwombeaHuyu Mama Mpaka 2030 atavunja rekodi zote ikiwemo ya Mzee Magu
Mkuu nadhani unapashwa Kuwa na Uzalendo Walau kidogo tu,Mkuu ugonjwa/tatizo tulionalo waTz na hasa hawa viongozi ni ubinafsi, kujipendekeza ili mradi tu mkono wake upeleke kitu mdomoni. Hili suala la kulinganisha performance za Marais nalaiona halina afya yeyote na hasa ukizingatia matokeo ya research yao ni ILE ILE Rais aliye Madarakani kwa wakati huo na kwa kuwa yeye ameteuliwa/chaguliwa nae basi huyo ndiye aliyefanyakazi kupita Marais wote walio tangulia. Kila Rais anatoka Chama cha MAPINDUZI ambacho ndicho kinatoa Sera na kuipelekea Serikali kwa UTEKELEZAJI baada Bunge kuidhinisha Matumizi ya BAJETI YA NCHI kulingana haWakuu hili jambo sio zuri kwa AFYA ya UMOJA wetu, UZALENDO wetu na MAENDELEO yetu.
AmiiinMama wa Taifa letu la Tanzania.
Mungu azidi kumbariki.
Huyu bwana ni Fundi kwelikweli,Hapa Comrede Shaka ameupiga mwingi Sana 😆😆
Namuunga mkono mama Samia, lakini ni ufinyu wa aikili kumlinganisha Mama Samia na Mwalimu Nyerere.
Hapo Shaka anaonyesha ufinyu wa upeo wa uelewa wa kisiasa.
Rais Mwinyi mwenyewe aliwahi kusema yeye ni kichuguu akijilinganisha na Mwalimu.
Mtu kama anafanya vizuri Kwanini asisifiwe?Shaka
Unaharibu taasisi ya urais
Sifa Zina haribu Sana marais waliopita na waliopo!!
Tujifunze kuwakosoa viongozi sio kuwaharibu kwa sifa!!
Sijakataa sifa lakini sifa zikizidi ni upofu!Mtu kama anafanya vizuri Kwanini asisifiwe?
Wewe unaweweseka na JPM tuu, mbona hutaji majina ya hao wengine?Huyu Mama Mpaka 2030 atavunja rekodi zote ikiwemo ya Mzee Magu