CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kwa hisia Sana, Jamaa anathubutu kusema na kutendaHuyu Shaka Namuona mbali Sana kiuongozi, Anapaswa kupanda na kupandishwa juu zaidi ya hapo Alipo, Anapaswa kuaminiwa katika nafasi za juu zaidi kiuongozi zitakazo mpa mamlaka ya kuwawajibisha watu, Anapaswa kuongezewa nguvu za kimamlaka kwa kuwa Ni kijana aliyeonyesha kuwa na uchungu na Rasilimali za nchi hii, Ni kiongozi aliyeonyesha kuumizwa na matatizo ya watanzania, Ni kiongozi mwenye kiu ya kuona watanzania wanapata Milo mitatu kila Siku, Ni kiongozi mwenye uchu wa maendeleo, Ni kiongozi mwenye utulivu,busara, upendo, unyenyekevu, uvumilivu hekima na huruma kwa watu, Ni kiongozi anayetambua kuwa cheo Ni dhamana,Ni kiongozi asiye na majivuno ya kiuongozi, Nikiongozi asiye na ulevi wa kimadaraka,
Kwake Shaka uongozi Ni utumishi kwa watu na siyo kutumikiwa na kuumiza watu, kwake Shaka uongozi Ni kusaidia watu na siyo kuwa didimiza na kuwaonea,Shaka ana uchungu mkubwa na uzalendo mkubwa na nchi hii,
Nampongeza Sana mama Samia suluhu Hassani Mwenyekiti wetu Taifa kutuletea kiongozi huyu mwenye Maono na uzalendo mkubwa kwa Taifa letu, Hakika Timu ya uongozi ya CCM Taifa Ni timu iliyosheheni wazalendo watupu ambao wamekuwa mfano wa kuigwa kwetu wanachama wa kawaida
Kazi iendeleee
Hebu yanyoosheni hayo majizi kwakweli,
Shaka kamati majizi yote Mpaka yanyooke
Shida mkamataji wa hayo majizi hayupo.Shaka kamati majizi yote Mpaka yanyooke
Kwani rais wako kipenzi kasema zimeenda wapi?Mkwara Mbuzi tu, yale Majizi yaliyopiga B 8 za hereni za Mifugo yanakunywa Balimi tu.
Yamepiga wapi?Mkwara Mbuzi tu, yale Majizi yaliyopiga B 8 za hereni za Mifugo yanakunywa Balimi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Muda ni mwalimu mzuri sana mkuuYule bibi si alisema awamu iliyopita palikua na simba wa yuda ukichezea mali za umma anakurarua akasema yeye hataki nidhamu hiyo ya uoga yeye anataka afoke kwa kalamu? Kiko wapi? Leo huyu mpemba anayejichubua anamuita na yeye simba wa yuda tena? Si alimponda simba wa yuda aliyelala chato? Nauliza kiko wapi?
Crimea punguza Gubu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Muda ni mwalimu mzuri sana mkuu
Ngoja arudi huenda akatujuza.Kwani rais wako kipenzi kasema zimeenda wapi?
Unajua kwanini Magufuli alimfukuza Ukatibu wa Chama mkoa wa Morogoro?Hili hata wananchi wanalifahamu,
Huyu kijana naona ndio mtu anachukia wizi kwa dhati,
Chuki zilimtawala Sana Yule BwanaUnajua kwanini Magufuli alimfukuza Ukatibu wa Chama mkoa wa Morogoro?
Huyo mpemba alivyolegea hivyo sababu ya mkorogo anaojikoboa nao ana lipi la kuchukiwa na JPM?Chuki zilimtawala Sana Yule Bwana
Shaka aliyekula rushwa ya watia Nia mkoa wa Morogoro, au kuna Shaka mwingine?Huyu Shaka Namuona mbali Sana kiuongozi, Anapaswa kupanda na kupandishwa juu zaidi ya hapo Alipo, Anapaswa kuaminiwa katika nafasi za juu zaidi kiuongozi zitakazo mpa mamlaka ya kuwawajibisha watu, Anapaswa kuongezewa nguvu za kimamlaka kwa kuwa Ni kijana aliyeonyesha kuwa na uchungu na Rasilimali za nchi hii, Ni kiongozi aliyeonyesha kuumizwa na matatizo ya watanzania.
Ni kiongozi mwenye kiu ya kuona watanzania wanapata Milo mitatu kila Siku, Ni kiongozi mwenye uchu wa maendeleo, Ni kiongozi mwenye utulivu,busara, upendo, unyenyekevu, uvumilivu hekima na huruma kwa watu, Ni kiongozi anayetambua kuwa cheo Ni dhamana,Ni kiongozi asiye na majivuno ya kiuongozi, Nikiongozi asiye na ulevi wa kimadaraka,
Kwake Shaka uongozi Ni utumishi kwa watu na siyo kutumikiwa na kuumiza watu, kwake Shaka uongozi Ni kusaidia watu na siyo kuwa didimiza na kuwaonea,Shaka ana uchungu mkubwa na uzalendo mkubwa na nchi hii,
Nampongeza Sana mama Samia suluhu Hassani Mwenyekiti wetu Taifa kutuletea kiongozi huyu mwenye Maono na uzalendo mkubwa kwa Taifa letu, Hakika Timu ya uongozi ya CCM Taifa Ni timu iliyosheheni wazalendo watupu ambao wamekuwa mfano wa kuigwa kwetu wanachama wa kawaida
Kazi iendeleee
Ndugu Zangu Majizi Yapo CcmAnapigia mbuzi gitaaaa, tangu meanza sikia ufisadi/mafisadi na mahakama ya mafisadi sidhani ka anachoongea anamaanisha