Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Ccm Na Rushwa Ndiyo Uji Na MgonjwaShaka aliyekula rushwa ya watia Nia mkoa wa Morogoro, au kuna Shaka mwingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm Na Rushwa Ndiyo Uji Na MgonjwaShaka aliyekula rushwa ya watia Nia mkoa wa Morogoro, au kuna Shaka mwingine?
Naam, tumeona yakhee sisi wapemba hatujichubui kwa weye habari gan shekhe unapara miwa?Leo huyu mpemba anayejichubua
Jaribu kuiba ndio utaelewa,Ndugu Zangu Majizi Yapo Ccm
Jaribu kuiba ndio utaelewa,Ndugu Zangu Majizi Yapo Ccm
Shaka ni jembe Sana, tumuunge mkonoHili hata wananchi wanalifahamu,
Huyu kijana naona ndio mtu anachukia wizi kwa dhati,
CHADEMA GUBU LITAWAUAJaribu kuiba ndio utaelewa,
Uko vizuri sanaHuyu Shaka Namuona mbali Sana kiuongozi, Anapaswa kupanda na kupandishwa juu zaidi ya hapo Alipo, Anapaswa kuaminiwa katika nafasi za juu zaidi kiuongozi zitakazo mpa mamlaka ya kuwawajibisha watu, Anapaswa kuongezewa nguvu za kimamlaka kwa kuwa Ni kijana aliyeonyesha kuwa na uchungu na Rasilimali za nchi hii, Ni kiongozi aliyeonyesha kuumizwa na matatizo ya watanzania.
Ni kiongozi mwenye kiu ya kuona watanzania wanapata Milo mitatu kila Siku, Ni kiongozi mwenye uchu wa maendeleo, Ni kiongozi mwenye utulivu,busara, upendo, unyenyekevu, uvumilivu hekima na huruma kwa watu, Ni kiongozi anayetambua kuwa cheo Ni dhamana,Ni kiongozi asiye na majivuno ya kiuongozi, Nikiongozi asiye na ulevi wa kimadaraka,
Kwake Shaka uongozi Ni utumishi kwa watu na siyo kutumikiwa na kuumiza watu, kwake Shaka uongozi Ni kusaidia watu na siyo kuwa didimiza na kuwaonea,Shaka ana uchungu mkubwa na uzalendo mkubwa na nchi hii,
Nampongeza Sana mama Samia suluhu Hassani Mwenyekiti wetu Taifa kutuletea kiongozi huyu mwenye Maono na uzalendo mkubwa kwa Taifa letu, Hakika Timu ya uongozi ya CCM Taifa Ni timu iliyosheheni wazalendo watupu ambao wamekuwa mfano wa kuigwa kwetu wanachama wa kawaida
Kazi iendeleee
Chapa kazi boss Shaka
Acha upotoshaji,Leta ushahidi wako hapa ,acha kumchafua kiongozi wetu,hata hivyo maneno yako hayawezi kumkatisha Tamaa maana Shaka Ni kiongozi shupavu sanaShaka aliyekula rushwa ya watia Nia mkoa wa Morogoro, au kuna Shaka mwingine?
Sahihi kabisa chiefAcha upotoshaji,Leta ushahidi wako hapa ,acha kumchafua kiongozi wetu,hata hivyo maneno yako hayawezi kumkatisha Tamaa maana Shaka Ni kiongozi shupavu sana
point SanaHili hata wananchi wanalifahamu,
Huyu kijana naona ndio mtu anachukia wizi kwa dhati,
Jembe Shaka Hamdu Shaka
How?Ccm Na Rushwa Ndiyo Uji Na Mgonjwa