Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Sio kweli mjombaTangu lini CCM ikawa na huruma ukiona hivyo ujue kuna kitu wanaomba!!
Sijawahi kupata elimu ya ccm katika maisha yangu na sitaipata mbwa wewe!!
Ukweli ni upo mama?Sio kweli mjomba
UshetuAmeyasema akiwa wapi?
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua tusimamie sheria bila kuleta mateso|manyanyaso na hata udhalilishaji uliopitiliza|
|Chama Cha Mapinduzi kitamuelekeza Waziri Wa Maliasili na Utali Dk Ndumbaro juu ya kadhia hii, Vijana wake wakishawamaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi?
Nyakati zote Rais Samia amekuwa akisimama na Wananchi wake kamwe hatuwezi kufumbia macho uchonganishi huu kwa kisingizio eti kuvunja sheria|
|CCM haitakubali kuona wananchi kwenye maeneo ya hifadhi ya misitu wakiishi kama wakimbizi katika kwenye nchi yao. TFS acheni uonevu na unyanyasaji wa wananchi wanaopakana na misitu hususan hapa Jimbo la Ushetu| alisema Shaka
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Kahama Kampeni CCM.
View attachment 1968067
View attachment 1968068
View attachment 1968070
View attachment 1968071
View attachment 1968072
View attachment 1968074
Uko sahihi ACTHuna lolote na hivyo vitisho vyako uchwara.
Kwamba wakati wa Magufuli nchi ilikua haijatulia sio?[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Miezi sita ya Rais Samia,
Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona
#KAZIIENDELEE
Hakika mkuuShaka ni mtu na nusu,
Wewe CHADEMA mambo ya CCM yanakuhusu nini?Joined May 2021 , after Magufuli Death
Hueleweki soma tenaUkweli ni upo mama?
Hueleweki soma tena
Ushetu Mkuu WanguAmeyasema akiwa wapi?
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua tusimamie sheria bila kuleta mateso|manyanyaso na hata udhalilishaji uliopitiliza|
|Chama Cha Mapinduzi kitamuelekeza Waziri Wa Maliasili na Utali Dk Ndumbaro juu ya kadhia hii, Vijana wake wakishawamaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi?
Nyakati zote Rais Samia amekuwa akisimama na Wananchi wake kamwe hatuwezi kufumbia macho uchonganishi huu kwa kisingizio eti kuvunja sheria|
|CCM haitakubali kuona wananchi kwenye maeneo ya hifadhi ya misitu wakiishi kama wakimbizi katika kwenye nchi yao. TFS acheni uonevu na unyanyasaji wa wananchi wanaopakana na misitu hususan hapa Jimbo la Ushetu| alisema Shaka
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Kahama Kampeni CCM.
View attachment 1968067
View attachment 1968068
View attachment 1968070
View attachment 1968071
View attachment 1968072
View attachment 1968074
Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua tusimamie sheria bila kuleta mateso|manyanyaso na hata udhalilishaji uliopitiliza|
|Chama Cha Mapinduzi kitamuelekeza Waziri Wa Maliasili na Utali Dk Ndumbaro juu ya kadhia hii, Vijana wake wakishawamaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi?
Nyakati zote Rais Samia amekuwa akisimama na Wananchi wake kamwe hatuwezi kufumbia macho uchonganishi huu kwa kisingizio eti kuvunja sheria|
|CCM haitakubali kuona wananchi kwenye maeneo ya hifadhi ya misitu wakiishi kama wakimbizi katika kwenye nchi yao. TFS acheni uonevu na unyanyasaji wa wananchi wanaopakana na misitu hususan hapa Jimbo la Ushetu| alisema Shaka
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Kahama Kampeni CCM.
View attachment 1968067
View attachment 1968068
View attachment 1968070
View attachment 1968071
View attachment 1968072
View attachment 1968074
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na msingi wowote wa kisheria,Kuanzia leo iwe mwanzo na mwisho, Serikali ya Mama Samia imejipambanua tusimamie sheria bila kuleta mateso|manyanyaso na hata udhalilishaji uliopitiliza|
|Chama Cha Mapinduzi kitamuelekeza Waziri Wa Maliasili na Utali Dk Ndumbaro juu ya kadhia hii, Vijana wake wakishawamaliza kuwavunja miguu vijana wote nguvu kazi ya Taifa hili itatoka wapi?
Nyakati zote Rais Samia amekuwa akisimama na Wananchi wake kamwe hatuwezi kufumbia macho uchonganishi huu kwa kisingizio eti kuvunja sheria|
|CCM haitakubali kuona wananchi kwenye maeneo ya hifadhi ya misitu wakiishi kama wakimbizi katika kwenye nchi yao. TFS acheni uonevu na unyanyasaji wa wananchi wanaopakana na misitu hususan hapa Jimbo la Ushetu| alisema Shaka
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Kahama Kampeni CCM.
View attachment 1968067
View attachment 1968068
View attachment 1968070
View attachment 1968071
View attachment 1968072
View attachment 1968074
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,Nawasalimu kwa jina la JMT,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika Mkoa wa Mtwara.
Shaka ameonekana kutoridhishwa na kasi ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025,Pamoja na serikali kutoa 157.8BL kwaajili ya Ukarabati wa bandari ya Mtwara kwaajili ya kutoa ajira mpya kwa Watanzani mradi bado unasuasua hali iliyopelekea Shaka kutoa Kalipio kali kwa Uongozi wa Mkoa wa Mtwara.
Shaka amewaonya vikali watendaji wa Serikali wanaotaka kukwamisha maendeleo ya Watanzania na kwakufanya hivyo Wanamkwamisha Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi zake za kuharakisha na kurahisisha maendeleo ya Wanamtwara na Watanzania kwa ujumla wake.
View attachment 1943022