Shaka: Wakurugenzi acheni kuchukua 10% mnakwamisha miradi ya maendeleo, TAKUKURU fanyeni kazi yenu haraka

Asante CCM?
 
Huyu mjomba ni jembe kwelikweli
 
Unaweza ona jinsi watu wanavyosafiri mamia ya km kutafuta huduma lakini kuna mapopoma yanapinga tozo zinazoenda kuwajengea huduma za afya jirani naaeneo yao..

Ona Hawa wanavyoshukuru 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220819-110423.png
    91 KB · Views: 5
Nikweli kabisa kinachokwamisha miradi mingi watu wanachukua karibu 50% za pesa za miradi ,Hapo mkandarasi akikwama nani alaumiwe? Mwenezi kazi nzuri sana
Shaka anazungumzia 10% ya malipo kwa mradi..

Iko hivi Ili upate tenda yeyote unatakiwa utoe asilia 10 ya thamani ya mradi,this is real na sio utani..

Hapa contractors nao ndio wanatoa Ili wapate Kazi,sasa sidhani kama inakwamisha moja kwa moja ila inatakiwa mradi ukikwama ni kufukuza tuu wahusika Wala haihitaji kubembelezana.
 
Hii ni kero ya muda mrefu,
 
Sahihi kabisa, TAKUKURU wanahusika
 
Shakha mbona unatuingilia ?
Hata Samia alishasema kila mtu ale urefu wa kamba yake?
Shakha punguza siasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
msemaji wa ccm kazi yake ni kusimamia watendaji wa serikali kama waziri mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…