Shaka: Wakurugenzi acheni kuchukua 10% mnakwamisha miradi ya maendeleo, TAKUKURU fanyeni kazi yenu haraka

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu haitaki mzaha kuusu pesa za wananchi
 
Nikweli kabisa kinachokwamisha miradi mingi watu wanachukua karibu 50% za pesa za miradi ,Hapo mkandarasi akikwama nani alaumiwe? Mwenezi kazi nzuri sana
Kunawakurugenzi kazi yao ni upigaji tu kwa kwenda mbele,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…