Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Kubadilika badilika ndio sababu ya siasa kuendelea kuwepo madaraka na kupendwa Kama hivi.It's true CCM inamiaka 100 madaraka, Chama kinapendwa mno hiki
Swala hapa sio kuaminika.View attachment 2369860
Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi,
Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara,
#KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
Na Tenda za halmashauri Mr MsambatavanguNadhani WATU wanatafuta ajira!
Why wote wakimbilie CCM,Siasa inalipa kila mtu anajaribu bahati yake.
View attachment 2369860
Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi.
Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara.
#KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
Swala hapa sio kuaminika.
Ila ni ike tabia ya wizi wa kura hata agombee kilaza kama tunaiwaona wapigaji sound watupu.
Kuombea kwao nikuendeleza wizi wa kura kukaa madarakani.
Tunahitahi KATIBA Mpya kama muarobaini wa haya.
Acheni mpendwa.
Unadhani linawezekana hilo?Kila mtu anataka kukaa karibu na store ya Tozo. Life ni bishi kibingwa.
Tunapaswa kusikitika badala ya kufurahia.Why wote wakimbilie CCM,
CCM NDIO CHAMA
Hizi data siziamini.2milioni.
Ukitangaza nafasi ya kazi kufanya usafi vyoo stand naamini maelfu wataaply..... Hiyo haimanishi watu wanapenda musafisha vyoo. Wanatafuta ajira.View attachment 2369860
Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi.
Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara.
#KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
Unamaanisha Uenyekiti wa CCM ni ajira?Ukitangaza nafasi ya kazi kufanya usafi vyoo stand naamini maelfu wataaply..... Hiyo haimanishi watu wanapenda musafisha vyoo. Wanatafuta ajira.
Hata huko CCM watu Wanatafuta ajira tu...!!