Shakira alianza kushtuka Pique alikuwa anamcheat sababu ya Jam kwenye fridge

Shakira alianza kushtuka Pique alikuwa anamcheat sababu ya Jam kwenye fridge

Wanawake ni wapelelezi sana na kila jambo ulifanya kwa hisia, nilipigiwa simu mara 4 usiku sikupokea mtoto wa watu kawasha gari yake saa 11 kasoro alfajiri toka Mbweni mpaka Kibada kapaki gari nje ili aje kufumania tu ile nafungua geti naona mtu kanuna ananiangalia usoni wa macho makali. mapenzi haya!!!
Aloooo.....mbweni hii nayoijua Mimi na kibada!!!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Strawberry chanzo cha mafarakano duuu kwakweli tuna safari ndefu
Mtego

Kama namwona Gerard pique anavojitetea Kwa Shakira

Shakira ,mkewangu sikia ukiwa haupo sikweli niliingiza MwAnaMkE hapa ndani Wala mgeni ila ,kilichotokea nilikumisi Sana nikatamani uwepo wako ,akili ikanijia nifungue friji Ili Nile kitu unachokipendaga wewe kikuwakilishe uwepo wako NAMI nilale vizuri ,Shakira wangu ...
 
Kosa ni la Pique. Mchepuko ukija kulala kwako haitakiwi aache vitu vyake. Aondoke na vitu vyake alivyokuja navyo. Huyo mpuuzi kuacha strawberry ilikua kosa kubwa sana.
 
Mtego

Kama namwona Gerard pique anavojitetea Kwa Shakira

Shakira ,mkewangu sikia ukiwa haupo sikweli niliingiza MwAnaMkE hapa ndani Wala mgeni ila ,kilichotokea nilikumisi Sana nikatamani uwepo wako ,akili ikanijia nifungue friji Ili Nile kitu unachokipendaga wewe kikuwakilishe uwepo wako NAMI nilale vizuri ,Shakira wangu ...
😅😅😅umejitahidi sanaa mkuu kutunga sentensi ya kujitetea
 

Mwanamziki maarufu kutoka Colombia Shakira ambaye walitengana na mpenzi wake aliyekuwa beki wa timu ya mpira Barcelona pique machale yalimcheza pique alikuwa anamcheat baada ya kukuta Strawberry Jam kwenye fridge imeliwa.

Wambea wanadai Gerald Pique hapendi na hajawahi kula Iyo strawberry Jam ni Shakira pekee yake ndo alikuwa akiitumia.

Shakira alishanga Aliposafiri na watoto wake nakumuacha Gerald Pique peke yake nyumbani na aliporudi kufungua fridge akakuta kopo la Strawberry Jam limefunguliwa na kutumika.

Na ndio hapo machale yakamcheza na kushtuka.

Shakira kuachana na Gerald Pique imemuuma sana. Wanoko wanadai anamuombea mabaya sana Pique kwenye uhusiano wake mpya na kabinti kadogo.

Pique naye anamuoneshea madharau hata kwenda Miami marekani kutembelea watoto wake hataki.

Shakira ameshaweka wazi hataki Pique alipe hata senti ya child support na yuko tayari hata kumlipia ticket ya ndege aende Miami kuwatembelea madogo.

Shakira ameweka wazi bado inamuuma sana kutengana na Pique. Anapitia wakati mgumu na kiza nene sana katika maisha yake ukizingatia haya yote yametokea baba yake akiwa ICU. Anasema anapiga picha jinsi wanawake wengine duniani wanaopitia mateso kama yake anabaki kulia

Licha ya utajiri wa dollas za kimarekani million 400 bado tu hana furaha.

Shakira ana asili ya Lebanon. Mababu zake ni kati ya wale waarabu walioamia mwishoni mwa karne ya 18 na mwanzoni karne ya 19 kwa wingikama wafanya biashara (merchants) Marekani, central na south America ambao vizazi zao ni maarufu kama Steve Jobs Syria, Carlos Slim billionaire mexico Syria, Bella Hadid Palestina na Rais wa El Salvador Nayib Bukele Palestina.

Source Gazeti la udaku The Sun Uingereza
Mtenda hutendwa, alimuacha ex wake Kwa mbwembwe akakimbilia kwa huyo Pique. Jamaa alilalamika kaibiwa demu wake Shakira haambiliki. Nadhani amekipata
 
Pique kidume Shakira kamwimba, mwamba kakaa kimya,hajajibu wala kufanya intvw yoyote. Japo ukimya wa mwanaume huwaga unaonyesha yy anamakosa,ila hatuwezi fahamu yaliyo kifuani mwa Pique,wanawake wanapenda sana kuonewa huruma,mbele za watu.

Hakuna kitu kinawaumiza sana wanawake kama amepanga akuumize nawe ukawa kimya tu na wala kujali.
 
Back
Top Bottom