Nadhani aliona ni kitu kidogo sana hvyo hakufatilia kumbe Ndo mtegoAsimlaumu Gerald pique alaumu strawberry zake ,sikilakitu lazima upenye nacho
Pique nae chizi ,alitakiwa kurejesha strawberry za mkewe akute vilevile
Aloooo.....mbweni hii nayoijua Mimi na kibada!!!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Wanawake ni wapelelezi sana na kila jambo ulifanya kwa hisia, nilipigiwa simu mara 4 usiku sikupokea mtoto wa watu kawasha gari yake saa 11 kasoro alfajiri toka Mbweni mpaka Kibada kapaki gari nje ili aje kufumania tu ile nafungua geti naona mtu kanuna ananiangalia usoni wa macho makali. mapenzi haya!!!
Lazima ubadilishe Taste.Shakira wa loca loca ,shakira wa hips don lie
Shakira miuno ,shakira bilionea
Watu wanamcheat
Funzo kwa kina dada hakuna cha peke yko
MtegoStrawberry chanzo cha mafarakano duuu kwakweli tuna safari ndefu
Kabisa ila inauma 😌Cha pekee kaburi tuu
Nasie tukienda kuonja mihogo mingineLazima ubadilishe Taste.
Mwanamke mmoja ndo kila siku umgongeshe
Wengine nani atawagongesha
So Wafe bila kugongeshwa
Tuvumiliane
Nenda ukikamatwa ni kosa kisheria hukumu yake ni kifungo Cha Maisha au Kifo.Nasie tukienda kuonja mihogo mingine
Msituchome tuu na magunia ya mkaa
Nitahakikisha nacheat kistaraabNenda ukikamatwa ni kosa kisheria hukumu yake ni kifungo Cha Maisha au Kifo.
Hutoboi wanyumbani.Nitahakikisha nacheat kistaraab
Huku nikiendelea kuheshim baba chanja
😅😅😅umejitahidi sanaa mkuu kutunga sentensi ya kujiteteaMtego
Kama namwona Gerard pique anavojitetea Kwa Shakira
Shakira ,mkewangu sikia ukiwa haupo sikweli niliingiza MwAnaMkE hapa ndani Wala mgeni ila ,kilichotokea nilikumisi Sana nikatamani uwepo wako ,akili ikanijia nifungue friji Ili Nile kitu unachokipendaga wewe kikuwakilishe uwepo wako NAMI nilale vizuri ,Shakira wangu ...
Kuna sehemu hujapaelewa vizuriKosa ni la Pique. Mchepuko ukija kulala kwako haitakiwi aache vitu vyake. Aondoke na vitu vyake alivyokuja navyo. Huyo mpuuzi kuacha strawberry ilikua kosa kubwa sana.
Mtenda hutendwa, alimuacha ex wake Kwa mbwembwe akakimbilia kwa huyo Pique. Jamaa alilalamika kaibiwa demu wake Shakira haambiliki. Nadhani amekipata
Mwanamziki maarufu kutoka Colombia Shakira ambaye walitengana na mpenzi wake aliyekuwa beki wa timu ya mpira Barcelona pique machale yalimcheza pique alikuwa anamcheat baada ya kukuta Strawberry Jam kwenye fridge imeliwa.
Wambea wanadai Gerald Pique hapendi na hajawahi kula Iyo strawberry Jam ni Shakira pekee yake ndo alikuwa akiitumia.
Shakira alishanga Aliposafiri na watoto wake nakumuacha Gerald Pique peke yake nyumbani na aliporudi kufungua fridge akakuta kopo la Strawberry Jam limefunguliwa na kutumika.
Na ndio hapo machale yakamcheza na kushtuka.
Shakira kuachana na Gerald Pique imemuuma sana. Wanoko wanadai anamuombea mabaya sana Pique kwenye uhusiano wake mpya na kabinti kadogo.
Pique naye anamuoneshea madharau hata kwenda Miami marekani kutembelea watoto wake hataki.
Shakira ameshaweka wazi hataki Pique alipe hata senti ya child support na yuko tayari hata kumlipia ticket ya ndege aende Miami kuwatembelea madogo.
Shakira ameweka wazi bado inamuuma sana kutengana na Pique. Anapitia wakati mgumu na kiza nene sana katika maisha yake ukizingatia haya yote yametokea baba yake akiwa ICU. Anasema anapiga picha jinsi wanawake wengine duniani wanaopitia mateso kama yake anabaki kulia
Licha ya utajiri wa dollas za kimarekani million 400 bado tu hana furaha.
Shakira ana asili ya Lebanon. Mababu zake ni kati ya wale waarabu walioamia mwishoni mwa karne ya 18 na mwanzoni karne ya 19 kwa wingikama wafanya biashara (merchants) Marekani, central na south America ambao vizazi zao ni maarufu kama Steve Jobs Syria, Carlos Slim billionaire mexico Syria, Bella Hadid Palestina na Rais wa El Salvador Nayib Bukele Palestina.
Source Gazeti la udaku The Sun Uingereza
Pique kidume Shakira kamwimba, mwamba kakaa kimya,hajajibu wala kufanya intvw yoyote. Japo ukimya wa mwanaume huwaga unaonyesha yy anamakosa,ila hatuwezi fahamu yaliyo kifuani mwa Pique,wanawake wanapenda sana kuonewa huruma,mbele za watu.
Soma tena uelewe kilichoandikwaKosa ni la Pique. Mchepuko ukija kulala kwako haitakiwi aache vitu vyake. Aondoke na vitu vyake alivyokuja navyo. Huyo mpuuzi kuacha strawberry ilikua kosa kubwa sana.