Ahahahaa....kabla sijaoa lazima nitafute wakili,na mkataba juu kuwa kwamba ntaongeza mwengine uko mbeleniWanawake ni wapelelezi sana na kila jambo ulifanya kwa hisia, nilipigiwa simu mara 4 usiku sikupokea mtoto wa watu kawasha gari yake saa 11 kasoro alfajiri toka Mbweni mpaka Kibada kapaki gari nje ili aje kufumania tu ile nafungua geti naona mtu kanuna ananiangalia usoni wa macho makali. mapenzi haya!!!
EhWanawake ni wapelelezi sana na kila jambo ulifanya kwa hisia, nilipigiwa simu mara 4 usiku sikupokea mtoto wa watu kawasha gari yake saa 11 kasoro alfajiri toka Mbweni mpaka Kibada kapaki gari nje ili aje kufumania tu ile nafungua geti naona mtu kanuna ananiangalia usoni wa macho makali. mapenzi haya!!!
Mkali wa kaziAsimlaumu Gerald pique alaumu strawberry zake ,sikilakitu lazima upenye nacho
Pique nae chizi ,alitakiwa kurejesha strawberry za mkewe akute vilevile
Kwa ushauri wa bure, usijaribu kabisa. Ninyi ni tofauti na sisi kabisa.Nitahakikisha nacheat kistaraab
Huku nikiendelea kuheshim baba chanja
Hakuna kitu Wanawake wanaumia kama ukimkalia kimya kama vile humuoni. Sababu wanapenda ATTENTION.Pique kidume Shakira kamwimba, mwamba kakaa kimya,hajajibu wala kufanya intvw yoyote. Japo ukimya wa mwanaume huwaga unaonyesha yy anamakosa,ila hatuwezi fahamu yaliyo kifuani mwa Pique,wanawake wanapenda sana kuonewa huruma,mbele za watu.
Mwanamke hata awe na miaka 55 kuwa na mashaka na uwezo wake wa AKILI na logical thinking yakeIla Pique strong kamzidi hata kukomaa kiakili japo Shakira kamzidi umri kwa miaka kumi pique wa 87 Shakira 1977.
Msimlaumu pique.Shakira bado anampenda jamaa ila ndio hivyo, kilichonisikitisha ni hilo la Pique kutotaka kuwaona watoto wake, inahitaji roho ya kikatili sana kufanya hivi, kama una mtoto mtoto/ watoto utanielewa.
Kasome 1Petro 3:Pique kidume Shakira kamwimba, mwamba kakaa kimya,hajajibu wala kufanya intvw yoyote. Japo ukimya wa mwanaume huwaga unaonyesha yy anamakosa,ila hatuwezi fahamu yaliyo kifuani mwa Pique,wanawake wanapenda sana kuonewa huruma,mbele za watu.
KabisaShakira wa loca loca ,shakira wa hips don lie
Shakira miuno ,shakira bilionea
Watu wanamcheat
Funzo kwa kina dada hakuna cha peke yko
Ila wanaume muache kujustify uzinzi wenuKwa ushauri wa bure, usijaribu kabisa. Ninyi ni tofauti na sisi kabisa.
Sisi hatuendi kwa hisia yaani wangi huji laumu sana baada ya kuchepuka lkn nyege zikishika kasi tena huchepuka tena hujilaumu.
Lkn nyie mnaenda akiri na miguu hususani atakae kukuna vzr
Kihonda maghorofani labda, sio kwa chambo.Eti bigwa [emoji16][emoji16][emoji1787] Sio kihonda
Mbweni hiyo hiyo ya washua from there to Kibada alfajiri kuja kufumania. Wanawake ni wapelelezi sana na mwanamke akihisi jambo basi kuna ukweli kwa %70+.Aloooo.....mbweni hii nayoijua Mimi na kibada!!!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
ππππππππππmkuu nini kimekuvurugaSiamini kama Shakira ana hela [emoji1787]View attachment 2749821
Yaani wananikwaza mimi hawa kina Abdallah boxer chafu uzinzi wanavyouhalalisha kama jambo la kheri vileIla wanaume muache kujustify uzinzi wenu
Hakuna marefu yasio naa ncha
Muda ukifikka unatapoteza familia kwa ajili ya kuchepuka
π€£π€£π€£ eti kina abdallah boxer chafuYaani wananikwaza mimi hawa kina Abdallah boxer chafu uzinzi wanavyouhalalisha kama jambo la kheri vile