Darleen
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 570
- 484
Kuna watu wajinga by nature, hivi tanzania toka lini hatuko huru. Watu mnachotaka ni fujo sio uhuru. Umeongea kimombo hata mm nakijua. Let me tell you, there is no freedom beyond freedom. Hivyo kuwa na mipaka ni utaratibu wa Mungu maana hata mbinguni kuna mipaka, hata shetani alivyovuka mipaka alifukuzwa kutoka mbinguni. Hata taifa letu lina mashetani wengi tu, wengine wameshavuka mipaka ya uhuru, sasa watoto wao (mashetani watoto) ndo kama hawa, hebu kama mnaona hamko huru ondokeni mtuachie nchi yetu, mfuateni mwenzenu.