Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Maelezo ya Nyumba:
- Nyumba kubwa sana na ina sehemu ya parking kubwa sana.
- Nyumba ipo mbweni JKT.
- Nyumba na eneo la wazi ukubwa wa SQM 2201.
- Nyumba ina mortgage Mwanga Bank kiasi cha MiL 300 so tunaenda kufanya process zote bank ili uchukue Nyumba na hati zake.
- Kuiona nyumba no nakupeleka na kukurudisha na usafiri kwa elfu 20.
Kama upo serious; 0693 784003/0710 782874