Shamba boy nimekosa site wawekezaji mnakaribishwa tufanye kazi

Shamba boy nimekosa site wawekezaji mnakaribishwa tufanye kazi

Jokeri

Member
Joined
Dec 9, 2021
Posts
29
Reaction score
77
Habari Wana Tanzania

Salamu kutoka Tukuyu -Mbeya

Msimu huu wa masika nimejikuta Sina site ya kufanya kazi na mwaka ndo unayoyoma hivošŸ˜…

Kama unahitaji shamba boy nipo hapa

Naweza na Nina uzoefu ,kulima,kutunza mifugo,bustani n.k

Uwaminifu ndio hazina yangu
Nina 24 yld_ me.,
0756122848
 
Back
Top Bottom