Plot4Sale Shamba ekari 60 linauzwa Morogoro

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
739
Reaction score
1,113
Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda.

Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe.

Shamba lina ukubwa wa hekari 60, lina bonde na miinuko, maji yapo karibu ukichimba kisima.

Shamba liko umbali wa KM 5 Toka Barabara ya Turiani - Tanga

Bei ni mil 30

Your browser is not able to display this video.


Maongezi kidogo yapo

Shamba lina hati ya kimila.

Mawasiliano :; 0744033555
 
Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda.

Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe...
Nahitaji acre 10 naweza kupata au lazima liuzwe kwa pamoja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…