Shamba/eneo linauzwa bukumbi-mwanza

Shamba/eneo linauzwa bukumbi-mwanza

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
838
Reaction score
135
Ninauza Shamba/eneo heka 2 maeneo ya Bukumbi-Mwanza,nikaribu na barabarani,anayehita kuona ama maelezo zaidi unaweza wasiliana na mimi kwa email:[email protected]
 
... vipi ukitupiamo hapahapa bei ya kuanzia ili tuvutike kufanya mawasiliano ya email? Eneo ni Mita za Mraba ngapi? Ni Bukumbi ipi, karibu na njiapanda ya kwenda Bukumbi "Senta"/Hospitali, Kalwande ama?
 
Funguka zaidi hiyo bukumbi ipo wapi? Ilemela au nyamagana? Ipo jirani na eneo gani maarufu? sio wote tupo mwanza japo twaweza ku invest huko.
 
Back
Top Bottom