Kuna kilomita ngapi kutoka barabara kuu?Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rutuba ya kitosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto.
Pia unaweza kuwekeza katika miradi ya ufugaji, makazi nakadhalika. Fursa ni nyingi sana kuna miradi mikubwa inaendelea ikiwemo viwanda nakadhalika.
Bei ni Milioni 80 maongezi yapo
Mawasiliano 0623745875
Ila 4m heka bado bei iko juu mkuu hata kuwangwa bei haifiki huku, 8km kutoka main road ni mbali kiasi bado Bush.Hazifiki Kilometers 8 kutoka Morogoro Road
Sio huwezi majirani zangu hapa wameuza mashamba yenye thamani ya 1B sembuse Ml80, wapo wateja wenye uwezo mkubwa na wenye uwezo mdogo, kukata vipande nayo nikazi nyingine, anatafutwa wakuchukua loteBei kubwa hiyo. Mlandizi huwezi uza heka kwa 4m tena pako 8km from main road.
Lakini kwa bei hiyo unaweza kuuza kama ukikatakata vipande vya heka mojamoja au mbilimbili.
Wewe usiangalie majirani zako wameuza kwa pesa kiasi gani kuna siri kumbwa kati ya muuzaji na mnunuzi anacho sema ni tofauti na uhalisia huenda wameuza heka 400 kwa 500k each ila anakuambia uongo ili wewe usiuze watu wana husda zao.Sio huwezi majirani zangu hapa wameuza mashamba yenye thamani ya 1B sembuse Ml80, wapo wateja wenye uwezo mkubwa na wenye uwezo mdogo, kukata vipande nayo nikazi nyingine, anatafutwa wakuchukua lote
Sio maneno ya kuambiwa ndugu tunafahamiana vizuri, mashamba ya zaidi ya 1Billion yananunuliwa kila siku huku na Wachina, hii heka 20 kwao ni ndogo sana, watu wanauza mpaka heka 900 kwa hapa ni jambo la kawaida sanaWewe usiangalie majirani zako wameuza kwa pesa kiasi gani kuna siri kumbwa kati ya muuzaji na mnunuzi anacho sema ni tofauti na uhalisia huenda wameuza heka 400 kwa 500k each ila anakuambia uongo ili wewe usiuze watu wana husda zao.
Mmh wewe unafikiri humu jf kuna wa China wenye kununua aridhi 1bn kweli?Sio maneno ya kuambiwa ndugu tunafahamiana vizuri, mashamba ya zaidi ya 1Billion yananunuliwa kila siku huku na Wachina, hii heka 20 kwao ni ndogo sana, watu wanauza mpaka heka 900 kwa hapa ni jambo la kawaida sana
Yaani serikali inaruhusu Wachina kununua ardhi? Tumekwisha! Katiba mpya ije mapema maana wajukuu zetu watakuwa wanalala barabaraniSio maneno ya kuambiwa ndugu tunafahamiana vizuri, mashamba ya zaidi ya 1Billion yananunuliwa kila siku huku na Wachina, hii heka 20 kwao ni ndogo sana, watu wanauza mpaka heka 900 kwa hapa ni jambo la kawaida sana
Kwani watanzania wanapesa kununua aridhi au wanategemea kupewa tu na serikaliYaani serikali inaruhusu Wachina kununua ardhi? Tumekwisha! Katiba mpya ije mapema maana wajukuu zetu watakuwa wanalala barabarani
Mchina yeye anapochukua eneo inamana kwamba anawekeza aidha kiwanda ama mradi mwingine ndio uzuri wa hawa watu, yeye haitaji kumiliki ardhi yeye anatazama ule mradi wake tu, akishaendesha mradi wake hela ikirudi anawaachia ardhi yenuYaani serikali inaruhusu Wachina kununua ardhi? Tumekwisha! Katiba mpya ije mapema maana wajukuu zetu watakuwa wanalala barabarani
Sio uoga pesa hatuna wenye pesa wanawekeza kwenye apartments kwasbb hawana wakika na vyanzo vyao vya pesa keshoWatanzania ninwaoga kuwekeza kwenye miradi mikubwa ndio maana tunawakaribisha wageni kila wakati
Tatizo la apartment isiwe kubwa, hebu angalia pesa iliyomwagwa jengo la Uchumia hapo karibu na TCRA Mwenge utashindwa kuelewa kuwa walidhani itarudi baada ya miaka mingapi? Wamelaza hela nyingi pale na bado watu hawalielewi hata kupanga pale hawatakiSio uoga pesa hatuna wenye pesa wanawekeza kwenye apartments kwasbb hawana wakika na vyanzo vyao vya pesa kesho
Hizo ni pesa za NSSF au NHIF sio za mtu binafsi sina simamiwa na mafisadi( hizo ni dili za watu) wenyewe hawajali hasara ilmradi wamepata cha kwao hi nchi uzalendo ulibakia kwa sisi masikini na sisi tukipata fursa ni kupiga tu. Hi nchi hapana.Tatizo la apartment isiwe kubwa, hebu angalia pesa iliyomwagwa jengo la Uchumia hapo karibu na TCRA Mwenge utashindwa kuelewa kuwa walidhani itarudi baada ya miaka mingapi? Wamelaza hela nyingi pale na bado watu hawalielewi hata kupanga pale hawataki
Pale wameingia chakike wataishia kulipa kodi na bill pamoja na wafanyakazi, Watanzania hawataki mambo makubwa sana hata ukijenga Hotel jenga ya kawaida, ikiwa kubwa sana hutaona mteja utaishia kulipa BillHizo ni pesa za NSSF au NHIF sio za mtu binafsi sina simamiwa na mafisadi( hizo ni dili za watu) wenyewe hawajali hasara ilmradi wamepata cha kwao hi nchi uzalendo ulibakia kwa sisi masikini na sisi tukipata fursa ni kupiga tu. Hi nchi hapana.
Kweli watanzania wenye tabaka la kwanza na la kati ni kama 2% walio wengi masikini. Japo tunajitahidi kuficha umasikini wetu kwa ku-force mambo fulani eti mtu ana vi-gari vi baby walker viwili ana fencing kwake kali ila ndani milo ni nafaka hizi za ugali maharege mchicha dagan nk...... tungepata somo la kuwekeza huenda tusingekua hapo tulipo kweli mtu mwenye mshahara wa 600k unakopa je pesa kununua gari ya kutembelea ya 15m?????Pale wameingia chakike wataishia kulipa kodi na bill pamoja na wafanyakazi, Watanzania hawataki mambo makubwa sana hata ukijenga Hotel jenga ya kawaida, ikiwa kubwa sana hutaona mteja utaishia kulipa Bill
Watu wengi waoga kuwekeza ndio maana mtu analipwa mshahara lakini bado ana hali mbaya, kwanini asingewekeza kupitia mshahara wakeKweli watanzania wenye tabaka la kwanza na la kati ni kama 2% walio wengi masikini. Japo tunajitahidi kuficha umasikini wetu kwa ku-force mambo fulani eti mtu ana vi-gari vi baby walker viwili ana fencing kwake kali ila ndani milo ni nafaka hizi za ugali maharege mchicha dagan nk...... tungepata somo la kuwekeza huenda tusingekua hapo tulipo kweli mtu mwenye mshahara wa 600k unakopa je pesa kununua gari ya kutembelea ya 15m?????