Shamba heka 40

Shamba heka 40

Freyz

Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
14
Reaction score
7
Shamba linauza,lipo chalinze pwani


Lina ukubwa wa heka 40 na kila heka moja inauzwa 1,500,000


Lipo umbali wa km6 kutoka morogoro road na huduma ya umeme ipo


📞 0719805851
 
Ili niweze kurudisha hiyo milioni 60 inabidi nilime nini?
 
Back
Top Bottom