Plot4Sale Shamba heka 5 linauzwa Vigwaza

Snipper

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,336
Reaction score
2,171
Karibuni mjipatie Shamba la eka saba kwa bei nafuu ya shilingi milioni 25. Shamba liko umbalinwa kilomita mbili na nusu kutoka barabara ya lami ya Dqr Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku, mbuzi, bata na mifugo mingine. Karibuni sana
 
Mku ukiuza kwa kukatakata vipande vipande utaliuza.
Hata mm ni mwitaji kwani kwa amount hiyo siiwezi.
Utanijulisha kama uko tayari kwa hayo maoni ili tufanye biashara
 
Karibu sana mkuu. Hata ukitaka kwa eka moja moja mi niko tayari
 
Karibuni wakuu mjipatie shamba kwa bei rahisi sana
 
Mbona Bei iko juu sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dalali..ukitaka mashamba huko..amka nenda moja kwa moja huko..fika ofisi ya kijiji ama mwenyekiti wa kijiji..utapata info z an kutohsa na utanunu mashamba kutoka kwa wanakijiji wenyewe tena bei rahisi sana.

Juzi nilikuwa huko watu wanauza heka kwa 1m na maongezi yapo..huyo jamaa ni dalali anataka awapige wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hahahaha...mimi siyo dalali mkuu. Ni mmiliki wa shamba kabisa. Njoo tuzungumze. Shamba liko kilomita 2.5 kutoka barabara ya lami. Ukiliona utafurahi mwenyewe
 
Naendelea kuwakaribisha wakuu. Mjipatie shamba kwa bei nafuu kabisa. Ekari saba kwa wastani wa kila eka milioni tatu na nusu na eneo ni zuri na lina rutuba
 
Huyo dalali..ukitaka mashamba huko..amka nenda moja kwa moja huko..fika ofisi ya kijiji ama mwenyekiti wa kijiji..utapata info z an kutohsa na utanunu mashamba kutoka kwa wanakijiji wenyewe tena bei rahisi sana.

Juzi nilikuwa huko watu wanauza heka kwa 1m na maongezi yapo..huyo jamaa ni dalali anataka awapige wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
Nimetoka vigwaza leo Bei ya Heka ni 1m ...kijiji cha visezi ...8km kutoka morogoro road

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa km 2 Kama Ni upande wa kwenda bandari kavu bei hizo ndo za sasa,Kama Ni upande wa buyuni zipo,laki 8 kwa ekari
Uko sahihi mkuu. Shamba langu liko umbali wa kilomita 2.5 kutoka barabara ya lami upande wa kuelekea bandari
 
Buyuni haipo upande wa kwala,ipo upande wa pili,kabla haujafika mizani,pale vigwaza kambini unaingia kulia,km 5 unafika buyuni
 
Kwa km 2 Kama Ni upande wa kwenda bandari kavu bei hizo ndo za sasa,Kama Ni upande wa buyuni zipo,laki 8 kwa ekari
Haujafafanua vizuri Mkuu. Unasema bei zake kwa sasa ni kiasi gani?
 
Mkuu mwaga namba ya mtu wa kuwasiliana nae huko please
Mkuu ningekushauri ukifika kule jitahidi sana ukutane na wenyeji coz kutokana na ujio wa Bandari kavu Mashamba na viwanja vinauzwa kwa kasi sana ...Na tayari kuna maeneo inasemekana yanauzwa mara mbili ..so kuwa makini sana .... usije ukatapeliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom