Shamba hekari 22 linauzwa - kitopeni bagamoyo

Dyadya Vasya

New Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Lipo Km.5 kutoka Bagamoyo mjini, na km 2.5 kutoka barabarani upande wa kushoto ukiwa unatoka Dar es Salaam. Mazao ya kudumu: Miembe na Mikorosho. Kuna Nyumba ya Mlinzi ya chumba kimoja. Ni eneo zuri kwa kujenga shule au kwa uwekezaji.. pia kuna uwezekano wa kununua eneo zaidi kwa majirani. Bei ni Tshs: Millioni 44. Ukitaka sehemu ya shamba kunanzia hekari 10 bei itakuwa ni Tshs. Millioni 2 kwa heka moja. Kama una offer karibu.
 
Siwezi kupata heka moja kwa hiyo 2M au unauza kwa jumla tu??kuanzia eka 10??
 
Kindly PM me! Am interested!!
 
Ofa ya I acr kwa Laki: Kwa kweli ofa yako ni nzuri sana... ila itafaa zaidi maeneo ya Mbande .. Dodoma. Ukiwa na na Laki 3 kwa Heka.. utapata maeneo ya Kiwangwa,Bagamoyo. Very good area kwa mananasi.

Kununua Heka 1: Nauza kuanzia heka 10 mkuu.. kama unataka eneo dogo around heka 3-5.. Naweza kukuulizia kwa wenyeji.. huwa yanapatikana.

Thank you all 4 replies.. I am still taking offers.
 
Mkuu, mbona hujatuwekea namba yako ya simu? Tafadhali nitumie namba yako kwa simu namba 0717351000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…