Dyadya Vasya
New Member
- Jan 3, 2011
- 3
- 0
Lipo Km.5 kutoka Bagamoyo mjini, na km 2.5 kutoka barabarani upande wa kushoto ukiwa unatoka Dar es Salaam. Mazao ya kudumu: Miembe na Mikorosho. Kuna Nyumba ya Mlinzi ya chumba kimoja. Ni eneo zuri kwa kujenga shule au kwa uwekezaji.. pia kuna uwezekano wa kununua eneo zaidi kwa majirani. Bei ni Tshs: Millioni 44. Ukitaka sehemu ya shamba kunanzia hekari 10 bei itakuwa ni Tshs. Millioni 2 kwa heka moja. Kama una offer karibu.