Shamba kinauzwa mwasonga Madege

Shamba kinauzwa mwasonga Madege

beenz

Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
21
Reaction score
5
khabari nauza shamba langu eneo la mwasonga heka 1 upana 70 urefu 70 kwa mawasiliano 0764007480 bei m.6 pungufufu tunazungumza
1152683
1152684
 
Weka bei n other features kama umbali kutoka barabarani na vitu vingine ikiwezekana weka na picha 3 4 kutia nyama uzi wako,
Watu watajipima then ndo tutumie ayo mawasiliano yako
 
Weka bei n other features kama umbali kutoka barabarani na vitu vingine ikiwezekana weka na picha 3 4 kutia nyama uzi wako,
Watu watajipima then ndo tutumie ayo mawasiliano yako
Asante kwa ushauri
 
Mwasonga ipo wapi? Nahitaji shamba kibaha jamani mwenye nalo njoo tuyajenge
 
Back
Top Bottom