Shamba la ekari 5 linauzwa wilayani hai - Kilimanjaro

Shamba la ekari 5 linauzwa wilayani hai - Kilimanjaro

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,058
Reaction score
2,637
Shamba liko Masama rundugai kijiji cha Longoi.
Lina miundombinu ya umwagiliaji (siyo pori)
Bei ni 30ml lakini negotiable

PM kwa maelezo zaidi
 
Mimi naishi hapa hai miaka nenda rudi ila hiki kijiji sikifahamu. Hebu toa direction boss kama unatokea masama mula unaelekea wapi
 
Hicho Kijiji cha masama ila kipo rudugai hapo umeniacha kalali
 
Back
Top Bottom