Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

Lickorium

New Member
Joined
Oct 14, 2023
Posts
3
Reaction score
3
Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha:

1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road
2. Lipo barabarani
3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji
4. Huduma za kijamii zipo

kwa mawasiliano zaid +255674213079
 
watu wenye hela hawaongei na picha we piga simu upewe details za eneo ukaangalie wizarani arafu uje nikupe na document zangu ndipo biashara ifanyike nyinyi mnaosema utapeli allah awasamehe sana faari naswira usizungumzie nafsi ya mtu
 
Back
Top Bottom