Yeye mwenyewe hawezi kuposthabari za siku nyingi wakuu!!
shamba la hekari 114.60(sqm463801)linauzwa…
shamba lipo ruvu kitonga ni km kadhaa kutoka ruvu
lipo pembeni ya mto ruvu
bei 1.5m kwa heka moja na lina document zote kwa mauziano
pia kwa anayehitaji heka chache chache anauza kuanzia heka 10
(hakuna dalali kaniomba nimpostie huku)
kwa mteja mwenye uhitaji no 0752727292
Fanya laki 5ana pata mkuu mbona hapo juu nmeandika kua anakata kuanzia heka 10
Poa nitapita.bei inazungumzika mkuu ufike sehem ya tukio uridhie mnazungumza bei