jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Unaongea haya kukatisha tamaa watu ama..mana wataalamu wanasema manyoni korosho zina zaa misimu miwili.Hamna kitu kama hicho, Dodoma, Singida mti wa mkorosho unaota vizuri tu na kustawi sema hauto korosho, ama ukitoa chache sanaaa, unalima heka 10 mikoa hio mwenzako analima heka moja pwani, lindi anavuna mara 100 yako..... Investments yeyote lazima iwe reasonably.... Huwezi kuwa mvuvi wa pweza ukaenda kuvua ziwa Tanganyika
#MaendeleoHayanaChama