Shamba la kukodisha linahitajika

Shamba la kukodisha linahitajika

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
3,618
Reaction score
3,478
Habarini wanaJF wenzangu,
mwenya taarifa za shamba la kilimo cha umwagiliaji(mbogamboga) linalokodishwa kwa msimu wa mwaka mmoja naomba anisaidie. Shamba lisiwe mbali na Dar ili niwe na uwezo wa kulisimamia vizuri badala ya kutegemea vibarua na ukubwa wake utategemea gharama za kukodi shamba lenyewe ila lisizidi ekari tatu na likiwa kibaha au ruvu itakuwa vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom