badspender1
Member
- Apr 22, 2014
- 74
- 6
Shamba la Mananasi linauzwa lipo Kiwangwa -Bagamoyo umbali wa Km 3 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata. Lina ukubwa wa Ekari 40, pia lina minazi. Lina vibanda 5 vya kudumu vya Wafanyakazi. Linauzwa lote au nusu kutegemea uwezo wa mteja. Mananasi na minazi imepandwa kisasa na yametunzwa vizuri. Bei ni Tsh 12 Milioni kila Ekari. contact 0712 859537