Shamba la Mananasi linauzwa Kiwangwa

Shamba la Mananasi linauzwa Kiwangwa

badspender1

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
74
Reaction score
6
Shamba la Mananasi linauzwa lipo Kiwangwa -Bagamoyo umbali wa Km 3 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata. Lina ukubwa wa Ekari 40, pia lina minazi. Lina vibanda 5 vya kudumu vya Wafanyakazi. Linauzwa lote au nusu kutegemea uwezo wa mteja. Mananasi na minazi imepandwa kisasa na yametunzwa vizuri. Bei ni Tsh 12 Milioni kila Ekari. contact 0712 859537
 

Attachments

  • kiwangwa01.jpg
    kiwangwa01.jpg
    51.8 KB · Views: 230
  • Kiwangwa2.jpg
    Kiwangwa2.jpg
    63.3 KB · Views: 219
  • Kiwangwa3.jpg
    Kiwangwa3.jpg
    53.2 KB · Views: 209
  • Kiwangwa4.jpg
    Kiwangwa4.jpg
    47.3 KB · Views: 185
  • kiwangwa5.jpg
    kiwangwa5.jpg
    58.9 KB · Views: 196
badspender1 , hayo mananasi yana muda gani? lakini mkuu hiyo bei ni kubwa sana kwasababu shamba la eka moja ukiuza mananasi utapata kama milioni sita na mashamba bagamoyo yanauza kuanzia laki tatu mpaka milioni moja hivyo mtu akinunua shamba kwa milioni kumi na mbili atakuwa amekula hasara, nashauri upunguze bei mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom