Plot4Sale Shamba la miti eka 67 milingoti linauzwa kila eka 3m

Plot4Sale Shamba la miti eka 67 milingoti linauzwa kila eka 3m

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
496
Reaction score
515
Wakuu Habari,

Ninashamba langu Naliuza Ekari 67 na kila eka ni Tsh.3m ,miti aina ya milingoti ina miaka mitano, ambayo baada ya miaka miwili utauza, Nimepatwa na shida inayohitaji fedha nyingi.Shamba lipo wilaya ya Mfindi , kijiji cha Uhafiwa, na Lipo barabarani,....

Endapo utahitaji na ardhi tutazungumza, pia hata bei inazungmzika (Negotiable). Kuhusu taratibu za Ununuzi ni choice yako wewe mnunuzi, ukitaka tukaandikshiane kwa mwansheria, wilani kitengo cha ardhi, kwa viongozi wa Serikali ya Kijiji ama kata sawa, Pia nitakusaidia kukupata maelezo uweze pata hati ya Kimila.Simu yangu ni 0766943145/0783011848, Kwa sasa napatikana DSM,ukiwa tayari tutaenda shambani.

Miti 2.jpg
Miti 3.jpg
miti 4.jpg
Miti1.jpg
 
Back
Top Bottom