Plot4Sale Shamba la miti linauzwa

Plot4Sale Shamba la miti linauzwa

fungo jrr

Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
6
Reaction score
2
Shamba la miti linauzwa.Miti aina ya pines. Ukubwa wa ekari moja na nusu. Shamba lipo tanga lushoto kata ya migambo. Bei ni 5.5M piga cm hapa 0712773128

IMG_20211005_105019.jpg
 
Sawa Mgosi. Nimekuona hapo, umejikalia mwenyewe chini ukiwa umechoka kweli kweli! Nitakupigia muda fulani ili nije kuliona. Maana sipo mbali sana na hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom