Shamba la miti (mitiki) linauzwa, heka 14 na nusu

Joined
Dec 2, 2022
Posts
5
Reaction score
1
Habari,

Shamba la miti (mitiki) LINAUZWA,
heka 14 na nusu
Miti: 4000 na zaidi yenye umri wa miaka 14
Bei: 500m miti elfu 4000 na kuendelea
Mahali: Tanga, Muheza kijiji cha kiwanda
Document: zina process manispa
 

Attachments

  • FullSizeRender.MOV
    3.3 MB
  • FullSizeRender.mov
    9.1 MB
  • D16672BE-04EF-4FF9-89C7-99D23924A2C6.jpeg
    239 KB · Views: 36
  • FullSizeRender.mov
    1.5 MB
  • F7AAFAB1-3830-4A37-9E02-D9A66CBCB4F6.jpeg
    234.5 KB · Views: 30
  • C206C3C3-A815-4EC8-BEA6-06F840B98C75.jpeg
    271.8 KB · Views: 30
  • FullSizeRender.mov
    963.2 KB
Miti inalipa sana nasikia,nitajaribu kupanda heka 30 ujana huu ili nikiwa mtu mzima ni enjoy
 
Jamani kuweni serious na hela, yaani hiyo miti ninayoiona kwenye picha ndo mti mmoja uuzwe 125,000/=?, huo mti una maajabu gani mpaka uuzwe bei hiyo?, weka bei inayoendana na uhalisia. Bora ungesema walau 60M watu tungesema unajua ulitendalo kuliko hiyo 500M.
 
Tatizo unakurupuka tu kujibu ndugu umeambiwa shamba lina miti zaidi ya 4000 na hapo kuna vititia na Lina acre 14 kwaio ulitaka iuzwe miti bila ardhi? Kwenye biashara kama hizi watu hawakurupuki shamba limefanyowa evaluation na wataalamu.

And by they it’s clear kua Haya sio mambo yako kwaio ni vigumu sana kulewa, wapishe wanao elewa Ndugu.
 
Na umebiwa “shamba la miti” sio “miti inauzwa”
 
Umemjibu vzr sana, nimeipenda hii. Yeye kapiga hesabu ya miti tu kasahau ardhi. Mm naona bei uliyoweka ina uhalisia labda mtu aombe punguzo kidogo tu
 
Umemjibu vzr sana, nimeipenda hii. Yeye kapiga hesabu ya miti tu kasahau ardhi. Mm naona bei uliyoweka ina uhalisia labda mtu aombe punguzo kidogo tu
Asante ndugu kwa kuelewa, na ni Kweli negotiations zinakubalikq
 
[emoji271]Group hili nikwa wakulima WA miti ya mitiki.

[emoji271]Lengo Nikupeana ushauri juu ya upandaji na uvunaji pamoja na changamoto mbali mbali zinazolenga maswala ya miti.

[emoji271]Pia Nikujua masoko ya ndani na nnjee.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…