newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
nimepata ardhi kubwa,ninahitaji kujua shamba la Miti ukanda wa pwani linawezekana?if yes miti gani inahimili mazingira ya ukanda wa pwani [rufiji,kilwa].
nawaza miti ya under 10 years.
Ninataka kuotesha miti isotoa matunda,kwa ajili ya kuvuna mbao,au nguzo,kwa kuwa bado nipo mazingira ya mjina nataka nioteshe vitu vinavyohitaji ukaguzi mdogo,e.g fire break, etc.
nimefikiria zao Bamboo.kwani kenya wameanzisha mashamba ya bamboo.wataalam mnasemaje?
ahsante sana ndugu LAT mchango wako ninauthamini sana. Nimekuwa nikifikiria mradi bamboo kwa muda sana sasa nafikiri ninepata platform ya kuongeza maarifa.JF pamoja tutaikomboa Tanzania na kurudisha hadhi yake.
Nauliza mkuu LAT je Bamboo zinaweza kushamiri ukanda wa miinuko wa pwani?eg Morogoro AHSANTENI.
mkuu tena sana .maeneo ya miinuko ya morogoro kule Kijiji cha mtega kilosa morogoro, bamboo inastawi sana, kwa study niliyofanya hata maeneo ya coastal highland regions bamboo inakubali kushamiri
hapa nilipo nina project ya bidhaa ya bamboo ambayo anytime will be in operation, it is a simple production process and technology transferred from china which needs very little resources
mkuu what do you intend to do? bamboo plantation or bamboo agro processing , please pm fvor more collaboration
Bamboo is a lovely plant,kuna organization inaitwa INBAR (International Network For Bamboo and Rattan) join and be a member it is very useful
Mianzi ni mizuri kwani inavumilia lakini ungehitaji mianzi ya asili ambayo iko kama aina mbili kuna ile ya rangi ya manjano ambayo huwa mikubwa na ile ya rangi la kijani ambayo ni miembamba,mikubwa hutumika sana kutengenezea mapambo ikichanwa,tatizo ni moto inabidi ujitengenezea njia za kuepusha motoNinataka kuotesha miti isotoa matunda,kwa ajili ya kuvuna mbao,au nguzo,kwa kuwa bado nipo mazingira ya mjina nataka nioteshe vitu vinavyohitaji ukaguzi mdogo,e.g fire break, etc.
nimefikiria zao Bamboo.kwani kenya wameanzisha mashamba ya bamboo.wataalam mnasemaje?
Asante sana,LAT,Malila kwa ushauri,nitaenda segerea kupata uzoefu,wa kupanda mikaratusi,ila swala la mianzi nimefanya tafiti nimegundua ina matumizi mengi mno,na kuwa nchi jirani imekuwa declared na UN kuwa ni semi-desert,hivyo wameamua kuondoa jangwa kwa kupanda mianzi kwa wingi.nadhani kitakachofuata ni Technology transfer from china to East AFrica.
LAT- unaweza kushare research yako kuona ninwezaje kufanikiwa ktk upandaji huu ,ni species ipi inatoa miti yenye thamani zaidi ktk kutengeneza products.nimevutiwa zaidi na hizi products toothpicks, ice cream sticks, hospital spatulas,nadhani kwa bongo zote hizo bado tuna-import
malila si tunaweza kupanda kule mkuranga mipaka ya mashamba, ukizingatia kuna maji maji?Mkuu tatizo liko ktk kukusanya mbegu (cuttings), kwa kusaidiana tunaweza kupata haraka.
malila si tunaweza kupanda kule mkuranga mipaka ya mashamba, ukizingatia kuna maji maji?
keep in touch
malila
take it from from me, i will soon start production of bamboo skewers (mishikaki sticks) , so i will be your customer if you have bamboo harvests