Umeniambia kitu kizuri sana, nakwenda kununua mianzi yote (ile ya njano) kule Mkuranga na utakapo nishitua tu nakwenda navuna. Asante kwa hilo.
mkuu
very right na transportation itakuwa nafuu compared to Iringa or Mbeya, you need sustainable supply ability, isn't it?
nimepata ardhi kubwa,ninahitaji kujua shamba la Miti ukanda wa pwani linawezekana?if yes miti gani inahimili mazingira ya ukanda wa pwani [rufiji,kilwa].
nawaza miti ya under 10 years.
hii kitu imekaa vizuriMpaka jioni hii nimepata uhakika wa msitu wa mianzi ya kijani yenye urefu wa kutosha. Ukiwa tayari nipe taarifa mapema hasa za specification na quantity inayotakiwa kwa mkupuo mmoja.
Tani ngapi mkuu unakisia za kuanza nazo?
mkuu Malila
the unit will be measured in running meters and the outer diameter should be 350mm minimum, the thickness or mark of the bamboo layer be more than 6mm.... this is the inside diameter to the outside diameter (hii namaanisha ni nyama ya bamboo)
they should be dry or semi dry...... by the time nitakupa kipimo maalum in length for your cutting of the bamboo shoot according to the length of use ili nisiwe na wastage (off cuts) nyingi
by that time i will advice you get a gasoline chainsaw for harvesting and quality and efficient bamboo cutting
Malila,
naomba uniambie ilipo,by PM ,ikiwezekana niwasiliane na JOHN kwa ajili ya ukusanyaji wa mbegu.naona very soon tutaanza kushindana na Majirani zetu wa kenya
Asante,
July hii nakwenda kuangalia kijiji fulani hapa ukanda wa Pwani,pia kuna misitu ya mianzi mirefu.Tuko pamoja ktk hili.
mkuu
ulifanikiwa kukutana na Rattan ( bamboo straws) hii ni jamii ya mianzi lakini ni nyembamba about 10mm ... hii ni dili sana
Sijafanikiwa kwa sababu niko nje ya dar mpaka 19july ndo nitamtafuta kwa kila njia. Nimempa PM hajajibu bado. lakini mpaka kieleweke.
Kama uangalizi utakuwa mdogo, basi nadhani usioteshe miti yenye thamani kubwa. Maana wabongo wanaiba hata miche iliyooteshwa shambani.
Sasa hizo bamboo zitakuwa bomba za maji au vipi? Kuna soko Tanzania au uko tayari kuuza Kenya?
Wataalamu wako bize kwenye Jukwaa la Siasa, ndio maana nimeona heri hata mie nikujibu kuliko wote tukae kimya kana kwamba hatuthamini swali lako.
Katika vyote nimefurahi 'ulivyothubutu kukwiba mianzi', ukasonga mbele kwa kuitosha kwa majaribio... tuko pamoja mkuuNaam,
Lile bonde nalipiga mianzi lote, nimefanya majaribio ya kuotesha kwa kutumia cuttings ziko safi. Nitakuonyesha sehemu yenye mbegu za njano, ni za kujichotea tani yako. Ziko kule Yavayava, sio zile za pale njiani kwa Wakorea, ziko pale Sangatini, hazina mwenyewe.
Wengi wanaotesha mitiki, lakini nashauri usifanye hivyo. Sioni ikinenepa. Hata mie nimeotesha mitiki michache, lakini naona inakuwa kama mirunda.
Kwa nini usioteshe mikorosho kitaalamu ukawa umefanya kweli? Miti minene ya mbao siioni huko unakosema. Nimeona ndugu mmoja alijaribu kuotesha mierezi, tena mingi, lakini yote imeshindwa kunenepa. Atavuna mirunda tu.