Iringa, miti ya mipainaWapi?
Aina gani ya miti?
Ukubwa gani Wa shamba?
Habari wadau, naomba kuuliza kwa wanajua mtu akihitaji shamba la miti ya mbao lililolimwa tayari lenye miaka kuanzia miwili au mitatu anaweza akapata kwa shilingi ngapi?
kwa huku mufindi utapata kwa bei nzuri kila ekari laki tisa hadi nane pamoja na ardhi njoo pmHabari wadau, naomba kuuliza kwa wanajua mtu akihitaji shamba la miti ya mbao lililolimwa tayari lenye miaka kuanzia miwili au mitatu anaweza akapata kwa shilingi ngapi?
Tupe contactkwa huku mufindi utapata kwa bei nzuri kila ekari laki tisa hadi nane pamoja na ardhi njoo pm
0716101434 nitafute tuyajengeNatafuta shambaardhi na miti kati ya mwaka mmjo hadi mitatu njombe au iringa