Shamba la miti ya mbao

Shamba la miti ya mbao

DonaGee

Member
Joined
Jun 2, 2019
Posts
8
Reaction score
41
Habari wadau, naomba kuuliza kwa wanajua mtu akihitaji shamba la miti ya mbao lililolimwa tayari lenye miaka kuanzia miwili au mitatu anaweza akapata kwa shilingi ngapi?
 
Wapi?
Aina gani ya miti?
Ukubwa gani Wa shamba?
 
Habari wadau, naomba kuuliza kwa wanajua mtu akihitaji shamba la miti ya mbao lililolimwa tayari lenye miaka kuanzia miwili au mitatu anaweza akapata kwa shilingi ngapi?
kwa huku mufindi utapata kwa bei nzuri kila ekari laki tisa hadi nane pamoja na ardhi njoo pm
 
Natafuta shambaardhi na miti kati ya mwaka mmjo hadi mitatu njombe au iringa
 
Back
Top Bottom