Omari Makoo Member Joined Sep 6, 2016 Posts 78 Reaction score 39 Jan 20, 2023 #1 Shamba lina ukubwa wa Hekari 2 Lina miti 1000+ Miti ina umri wa miaka Shamba lipo Mwanza, Ukerewe Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki tano(9,5000,000) Tu.
Shamba lina ukubwa wa Hekari 2 Lina miti 1000+ Miti ina umri wa miaka Shamba lipo Mwanza, Ukerewe Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki tano(9,5000,000) Tu.
Scolari JF-Expert Member Joined Aug 25, 2017 Posts 1,721 Reaction score 2,383 Jan 20, 2023 #2 Inaweza kukatwa mbao?
Omari Makoo Member Joined Sep 6, 2016 Posts 78 Reaction score 39 Jan 20, 2023 Thread starter #3 Scolari said: Inaweza kukatwa mbao? Click to expand... Itatakiwa kusubiri kwa miaka 6 yaani mpaka itimie miaka 10
Scolari said: Inaweza kukatwa mbao? Click to expand... Itatakiwa kusubiri kwa miaka 6 yaani mpaka itimie miaka 10
GITWA JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,572 Reaction score 1,781 Jan 22, 2023 #4 Ukerewe Kijiji gani au ni Rubya.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jul 13, 2024 #5 Rubya?