Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Picha ya kudownload asante nimeweka link hapo nenda kaone acha utapeli bwana mdogo ...๐๐๐wewe ndo akili Huna kabisa sijaanza kupost ili kuuza shamba hili leo naomba tembea post zangu kwanza pili
Hiyo nilink ya group la mitiki lenye wafuasi 120 ninaloliendesha mimi tatu nimekutumia screenshot za miti yangu hatua za mwanzon Acha ujinga Acha kuwapotosha watu kama Huna ela ya kununua ni bora ukakaa kimya
Picha ya kudownload mtandaoni bonyeza link hii kuona alikotoa picha hiyo ilikuwa profile ya mwana jf anaitwa octoba tuna tiki so hili shamba ni kitapeli naona muuza shamba kala kona akiwa bado anapumua napiga tena kichwani ....utapeli mwiko
Jamani hiyo picha ya shamba kadowmload online kwa jamaa anaitwa oktoba tuna tik link hii hapa so kuna walakini na shamba bonyeza link kujua aliko download picha ya shamba nikireport kutoka kitengo cha IT ...wako ashampoo Google Image Result for https://www.jamiiforums.com/data/avatars/o/92/92203.jpg?1754694508
Mkuu huwa watu wanawachukulia watu wengine sawa. Hii ni biashara imagine huyu seller ana account ya alibaba anauza bidhaa ambayo haijajitosheleza maelezo muhimu. Je waweza kununua kwa muuzaji huyu?Na ndio maana nimemuuliza, siwezi nkaenda hadi Korogwe alafu naenda kukutana na mtu kati aliyesema ni mmiliki. Unafika alafu unakutana na stori nyingi na kuanza kumbembeleza muuzaji akuuzie, huo ujinga unapoteza sana muda.
LamiShamba ni hekari 6 umbali kutoka kwenye shamba mpaka kuifikia rami ni km3