SHAMBA LENYE UKUBWA WA HEKA 100 LINAUZWA MKURANGA.

SHAMBA LENYE UKUBWA WA HEKA 100 LINAUZWA MKURANGA.

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,316
Reaction score
7,215
Shamba lipo Mkuranga - Kimanzichana.
Shamba lina ukubwa wa Heka 100.
Shamba lote ni Tambarare.
Ardhi yake ni Mfinyanzi mweusi.
Linafaa kulimwa Mpunga, Vitunguu, Mahindi na Mazao mengine yanayokubari kwenye ardhi ambayo sio Mchanga.

Shamba ni la Aunty yangu na ameshindwa kulitendea Haki kwa ukweli toka alinunue zaidi ya Miaka 7 ilopita.....alikua akilima eneo DOGO tu kila msimu kwa vile plan yake ya mwanzo ya Ununuzi wa Shamba imekufa, kaamua kuuza shamba lake lote.

Haliko mbali na barabara kubwa.
Akipatikana mteja wa kuchukua heka zote sawa...
Anauza kwa mtu angalau atayechukua kuanzia heka 20 na kuendelea.

Bei ni 1 Million kwa kila Heka moja.

Karibuni.

0769535559
 
Back
Top Bottom