M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 Dec 9, 2023 #1 Wadau, Nahitaji shamba kwaajili ya kuweka mifugo (mbuzi na ngombe), wilaya ya Chemba (Dodoma) hasa maeneo ya Soya au kokote kunakofaa kwa ufugaji mbubwa heka 5 na zaidi. Naomba muongozo.
Wadau, Nahitaji shamba kwaajili ya kuweka mifugo (mbuzi na ngombe), wilaya ya Chemba (Dodoma) hasa maeneo ya Soya au kokote kunakofaa kwa ufugaji mbubwa heka 5 na zaidi. Naomba muongozo.
M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 Dec 9, 2023 Thread starter #2 Wadau....naomba mchngo please!