Shamba linahitajika, kuanzia heka au zaidi. Maeneo ya Kibaha hadi Mlandizi

Shamba linahitajika, kuanzia heka au zaidi. Maeneo ya Kibaha hadi Mlandizi

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,290
Wakuu habari zenu.

Mwenye ndugu au babu yake kama anauza shamba kuanzia heka moja au zaidi lakini liwe barabarani au isizidi kama moja kutoka barabarani. Maeneo yanayohitajika ni kuanzia Kibaha Hadi MLANDIZI, weka offer hapaa, itapendeza.
 
Lipo samba sema Kuna investment ya miti ya mikorosho ndani yake !! If your interested chat me DM . Zipo zaidi ya heka 100+
 
Lipo hapa Kiluvya gogoni 1km toka kituo Cha police Lina heka 3 Lina nyumba na maBanda ya kufugia pana umeme maji barabara nzuri majira yote ya mwaka .

If interested, njoo upaone
 
Hapa gogoni Kuna viwanja Safi Sana vitatu 3
Kimoja Bei ml 4.5

Cha pili Bei ml 15

Cha tatu Bei ml 120

Bei inapungua na vyote umeme huhitaji nguzo ,maji toka Bomba kuu mita 3 , barabara safiiii
 
Hapa gogoni Kuna viwanja Safi Sana vitatu 3
Kimoja Bei ml 4.5

Cha pili Bei ml 15

Cha tatu Bei ml 120

Bei inapungua na vyote umeme huhitaji nguzo ,maji toka Bomba kuu mita 3 , barabara safiiii
Jamaa anataka shamba siyo viwanja
 
Nicheki fasta mkuu PM eneo lipo picha ya ndege.
 
Hapa gogoni Kuna viwanja Safi Sana vitatu 3
Kimoja Bei ml 4.5

Cha pili Bei ml 15

Cha tatu Bei ml 120

Bei inapungua na vyote umeme huhitaji nguzo ,maji toka Bomba kuu mita 3 , barabara safiiii
Ukubwa wa hicho kiwanja cha ml 4.5 ni size gani??
 
Back
Top Bottom