TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Weka bei ya kianzioo mkuu.....ili nikiona inaeezekanaa nikufate PM,Mkuu Mimi Nina eneo la sq meter 900 na Lina Nyumba nauza kibaha maili 1 kwa dachi maduka matatu ni pm.
Jamaa anataka shamba siyo viwanjaHapa gogoni Kuna viwanja Safi Sana vitatu 3
Kimoja Bei ml 4.5
Cha pili Bei ml 15
Cha tatu Bei ml 120
Bei inapungua na vyote umeme huhitaji nguzo ,maji toka Bomba kuu mita 3 , barabara safiiii
Hivi skwea mita 900 ni shamba au kiwanja mkuu?Mkuu Mimi Nina eneo la sq meter 900 na Lina Nyumba nauza kibaha maili 1 kwa dachi maduka matatu ni pm.
Ukubwa wa hicho kiwanja cha ml 4.5 ni size gani??Hapa gogoni Kuna viwanja Safi Sana vitatu 3
Kimoja Bei ml 4.5
Cha pili Bei ml 15
Cha tatu Bei ml 120
Bei inapungua na vyote umeme huhitaji nguzo ,maji toka Bomba kuu mita 3 , barabara safiiii