rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,965
- 5,894
Habari wakuu.......
wewe unahitaji kulima na huna shamba ..?
usipate tabu. .. kuna shamba linakodishwa kwa bei y'a tsh.40,000# kwa ekari..
Shamba liko Kabuku... bodaboda toka kabuku mjini mpaka shamba ni
tatu tu......
unaweza kodi hadi ekari 15.....
unaweza kulima ma hindi, karanga, maharagwe nk... maandalizi y'a shamba huanza mapema January.
Karibuni
UPDATES:
Ekari kumi zinauzwa hapo hapo kwa bei ya 2M per acre... Makubaliano yapo.