Shamba Linauzwa 100Acres -Mkata Handeni

Shamba Linauzwa 100Acres -Mkata Handeni

Fideline

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
234
Reaction score
124
Umuofia kwenu!

Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo kidogo yapo.Shamba lina hati ya mauziano ya serikali ya Kijiji na mnunuzi atapata haki ya kujiridhisha umiliki serikalini kabla ya kulinunua.Shamba ni langu mwenyewe hivyo hakuna udalali.
Mawasiliano +255 757 786 054
 
Shako lako mwenyewe sawa swali langu umelitoa wapi?
 
Mkata si ndio njia panda kuelekea Kwa Msisi kijiji cha wachawi Tanzania? Mwenye nia fikiria mara mbili; wajinga sana maeneo hayo wamekalia uchawi tu.
 
Kwa msisi Iko mbali kidogo na Mkata ...japo ni hapo hapo handeni
 
Umuofia kwenu!

Shamba lenye ukubwa ya Ekari 100 Linauzwa.Shamba lipo Kijiji Cha Kwandugwa.Umbali wa Km 14 toka Mkata Centre. Shamba ni pori.Halijawahi kusafishwa.Linauzwa kwa Tsh 18M.Mazungumzo kidogo yapo.Shamba lina hati ya mauziano ya serikali ya Kijiji na mnunuzi atapata haki ya kujiridhisha umiliki serikalini kabla ya kulinunua.Shamba ni langu mwenyewe hivyo hakuna udalali.
Mawasiliano +255 757 786 054
Bado lipo hili mkuu?
 
Back
Top Bottom