Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

hydroxo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
3,553
Reaction score
7,334
Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road).

Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5).

Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns

Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo.

Bei ni milioni mia moja na ishirini(120,000,000/=).

Tuwasiliane kwa namba;
-0746722646
-0683467907

KARIBUNI.
 
Hati ni ya wizarani? Tuanzie hapo Kwanza
 
Yeah hati hipo na document zote muhimu zipo.

Pia unaweza kuelekezwa shamba lilipo then ukafutilia wewe mwenyewe kwa njia zako kujua uhalali wa shamba.

Karibu sana mkuu.
 
Safi sana Iko vzr kiongozi.piga KAZI
 
Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road).

Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5).

Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns

Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo.

Bei ni milioni mia moja na ishirini(120,000,000/=).

Tuwasiliane kwa namba;
-0746722646
-0683467907

KARIBUNI.
Bado linapatikana? unaweza kuniwekea clip ya google maps kuonyesha lilipo?
 
Back
Top Bottom